Sunday, January 16, 2011

MASHAMBA/LAND/FARMS FOR SALE

Mashamba yapo kuanzia ekari 1, 2,3,4,5,6,7,8,9,10 nakuendelea mpaka ekari 100,150 na kuendelea kwa wanaotaka kujenga vituo vya Mafuta maeneo yapo. Viwanda maeneo yapo.Shule ndio usiseme yapo pia kuna ambalo linafaa kwa shule likiwa na majengo ya hostel kabisa yenye rooms 30 zilizojengwa kiuakika. Nyumba pia zinazouzwa zipo Kibaha.MAENEO YOTE YANAPATIKANA KIBAHA Mkoani Pwani.

Contact/Mawasiliano piga simu no.: 0754 383174