Tuesday, October 25, 2011

SHAMBA LINAUZWA

Shamba lina Hekari mia moja (100)

Mahali: Kilomita 3 toka Mombo Mjini. Sehemu inaitwa Mabogo(Mombo Korogwe - Tanga)

Bei: Tshs. 60m (Sixty million shillings)


Sifa: Lina hati, linafaa kwa kilimo cha biashara na chakula kama vile mkonge, mahindi pia na ufugaji wa aina zote.

Mawasiliano: Josephine J. (Mob: 0659 - 176977)