Thursday, February 18, 2010

KIWANJA KINAUZWA(PLOT FOR SALE)

Place: Bunju (Bagamoyo Rd)
Size: 1500 Sq metres
Price: Tshs. 25,000,000/=
Status: Surveyed (has documents)

Two plots in one compound Total 3000 Sqm for Tshs.50,000,000/=

2 comments:

  1. Mhh jamani nyumba tunazitaka ila huo mshiko. sasa kwa kukuza biashra yako jaribu kuweka na kulizia link za benk zinaweoza kutoa mikopo ya kunua nyumba.

    Unaweza pata faida mbili ila sina uhakika.

    Mimi sina nyumba ila nahitaji nyumba ninapata mshahara wa laki 4 . mhhh tutapanga mpaka lini

    ReplyDelete
  2. Hicho kiwanja cha 25 mil, kipo bunju gani? ni cha serikali? kina hati tayari? mie Aloyce nijibu kwenye email yangu

    ReplyDelete