
HILI LIMESHAUZWA - ILA BADO YANAPATIKANA KWA BEI ILIYOPO HAPO JUU.
Note: Hayajapimwa bado na pia hayako katika mradi (sehemu zilizochukuliwa na Serikali).Endapo utahitaji yaliyopimwa/yenye hati bei yake ni Shs.5,000,000/= na kuendelea)inaweza kuwa shamba au kiwanja itategemea eneo na ukubwa.