Friday, February 27, 2009

SHAMBA LINAUZWA (Tshs.700,000 - 1m) KWA HEKA


HILI LIMESHAUZWA - ILA BADO YANAPATIKANA KWA BEI ILIYOPO HAPO JUU.
Note: Hayajapimwa bado na pia hayako katika mradi (sehemu zilizochukuliwa na Serikali).Endapo utahitaji yaliyopimwa/yenye hati bei yake ni Shs.5,000,000/= na kuendelea)inaweza kuwa shamba au kiwanja itategemea eneo na ukubwa.

2 comments:

  1. ina maana mashamba yako ni ya kigamboni tu?

    ReplyDelete
  2. Hi! Hivi Mss Reen J.R (Samahani kama nimekuita Mss ilhali ni Mrs) unaweza kutuhakikishia vp sisi ambao tuko serious na kununua viwanja kuwa unavyotuwekea hapa havina migogoro, na je! nikizinguliwa nikufuate? maana wewe upo kama dalali! au la sivyo uandike kuwa wewe ni mtu wa 3. maana napata wasisi kuona viwanja vya Kigamboni ambavyo nimeshauzwa kitaaaaabo! nipe maelezo!
    G.M

    ReplyDelete