Thursday, February 19, 2009

NYUMBA INAPANGISHWA

INA:- Vyumba 3 vya kulala(2 Master), - Sebule,Chumba cha kula chakula - jiko,choo & bafu - sakafu ya nyumba yote ni ya vigae - Kiyoyozi (AC)nyumba nzima - kibaraza cha kupunga upepo (summit)juu ghorofani kinachoangaliana na bahari - maji,umeme, nafasi ya maegesho ya magari4, - iko ndani ya uzio(fenced) Mahali: Msasani Bei: US$ 2500 kwa mwezi(makubaliano yapo)

No comments:

Post a Comment