Friday, July 24, 2009

VIWANJA VINAUZWA

1. High Density kinauzwa 6,500,000/=

2. Low Density kinauzwa 8,500,000/=

Viwanja vipo Madale karibu na Wazo na vina hati.
Bagamoyo Rd.

Kwa mawasiliano: Simu 0712 785277

SOLD-VIMEUZWA

4 comments:

  1. Tunakusubiria kwa hamu tupige kazi, tulitegemea ungeanza kazi tarehe uliyohaidi, mbona kimya?

    ReplyDelete
  2. Asente Sano Wana Shein Rangers-...tunaweza panga na kupangua kadri tuwezavyo..ila..imebidi kusogeza muda ili kujipanga kiuhakika, muda ulikuwa mdogo sana ili kufanikisha malengo tuliyojipangia na si nia yetu kuwaangusha wadau wetu,tunataka watu wapate huduma ile wanaoitaraji toka kwetu na si vinginevyo..TUNAWAHAKIKISHIA KURUDI KWA NGUVU MPYA,KASI MPYA na ARI MPYA!! tupo pamoja..

    ReplyDelete
  3. Sassa mbona hivyo viwanja unavyouza haujaweka hata vipimo dada yangu,naomba maelezo yaliyokamilika

    ReplyDelete