Wednesday, January 7, 2009

NYUMBA/VIWANJA/MASHAMBA -UZWA

Nyumba na.6



Nyumba ya Vyumba 4
-Inahitajika kumaliziwa kujengwa
Mahali: Mikocheni eneo la Cocacola
Bei: Tshs. 250 ml


Nyumba na.5


Nyumba ya Vyumba 4 (2 'Master)
- Ina maji (DAWASCO) + Umeme (LUKU)
- Inaweza kubadilishwa kuwa na muonekano wa kisasa
- 'Size'35 x 18m
- Ina hati
Mahali: Msasani nyuma ya TANESCO
Bei: Tshs. 200 ml


Nyumba na.4


Nyumba ya Vyumba 5
- Iko kwenye hatua ya kumaliza ujenzi
Mahali: Msasani karibu na DARVILLA
Bei: USD 800,000


Nyumba na.3



Nyumba ya Vyumba 4 (1'Master')
-Sebule, Chumba cha kulia chakula
-ni ya kumalizia kujenga
Mahali: Mbezi kwa Msuguri, 1km toka Bar.Morogoro
Bei: Tshs. 70ml

Nyumba na.2



Nyumba ya Vyumba 4
- 'Master bedroom',
- chumba cha kulia chakula,
- ina eneo kubwa
Mahali: Tambalale
Bei: Tshs.55 ml


Nyumba na.1



Nyumba 4 vya kulala
-inahitajika kumaliziwa.
Mahali: Msasani karibu na Shule ya Msingi Msasani
Bei: Tshs. 250 ml

9 comments:

  1. Mambo poa, hili baraza kabisa mwanangu. Nice to see this initiative! Kudos!

    Sevedo

    ReplyDelete
  2. yes u shud really put pictures that would help

    ReplyDelete
  3. Rinee, add english as well to your site for more contributions and criticism and that will have more impact and assist you in recreation of the whole web. otherwise a lot of ideas and my you advise me the ultimate layout of this whole thing because i also have other ideas that might help or you working towards them, cognos

    ReplyDelete
  4. Rinee,as far as your concern please it will be more appropriate if you could post the photos of the Items that they are available for sale or rent I believe with that will convice someone to develope an interest on the item.
    Na maombi ya kutumia lugha ya kingereza au kuongeza lugha ya kingereza pia ni muhimu sana ila kupata wanunuzi ama wapangaji wa kigeni ambao kwa lugha ya kiswahili wasingeweza kupata ujumbe au taarifa kuhusu RSS HOME,
    Nice work otherwise,,,,

    ReplyDelete
  5. Samahani kama nitakua naandika comments nyingi ila kwakua ni kawaida yangu kuandika nini nadhani ni kizuri, Rinee wakati nacheki Blog Archive yako nimekutana na hii sentensi''Hauziwi mtu mbuzi kwenye gunia'' ni sentensi inzuri ila kwa upande mwingine sio inzuri kibiashara tafadhari jaribu kuja na misemo mizuri ambayo sitaki kusema kama hii imekaa kihuni au kiujana zaidi la asha!! ila ivyo ndivyo inavyoonekana..kibiashara sio lugha inzuri

    ReplyDelete
  6. Thanks Jerzy for your good advices. I will work on.
    Kuhusu msemo ambao umeuona kwa blog hii haujakaa vizuri,ni kwakuwa kuna wadau walisema hilo neno.... ndiyo maana nikalitumia hapo pia. kuhusu lugha niko mwangalifu,asante tena Mzee wa MAADILI A.K.A LUGHA.

    ReplyDelete
  7. RINEE,Nashukuru kwa kunielewa and to take on account what I note down for you thank you...OKAY,kwa watu wanaoshughulika na page please naomba iwe na standard ya BUSINESS make it conviced hata mtu aki-open the page kweli anakua ana find something sio kuangalia na kutoka maana page hii ipo simple not convicing at all,So people am sorry kama I am too deep in your work but believe me BUSINESS needs to sell it's self so we need you to update page layout ikae kibiashara na sisi tuanze kuitangaza kwa nguvu zote maana sasa hatujengi taifa bali tunajenga maisha bora ya kwetu wenyewe..kwa mara ya pili samahani kama nitakua nimeingilia kazi ya mtu but that's Business... Rinee Thanks for the oppotunity

    ReplyDelete
  8. usikate tamaa kazana sana rinee

    ReplyDelete