Friday, January 30, 2009

NYUMBA/VYUMBA VINAPANGISHWA

Nyumba na.6


- Nyumba 2 kwa pamoja
- @ Nyumba ina vyumba 4 vya kulala
- Uwanja wa michezo
- Mahali: maeneo Cocacola Mikocheni B
- Kodi: US$ 2000 (kwa mwezi)


Nyumba na.5


Nyumba nzuri yenye samani ndani:
- Vyumba vyote vina kiyoyozi (AC)
- Master bedroom iko ghorofa ya kwanza
- Vyumba vyote vina choo ndani
- Sebule kubwa
- Majiko 2
- Jenereta (endapo itatokea umeme kukatika)
- Matanki makubwa ya kuhifadhi maji safi
- Sehemu kubwa ya kuegesha magari
- Uzio na geti kubwa
Mahali: maeneo ya Mombasa, Zanzibar
- Nyumba iko dakika 5 toka Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, dakika 10 toka kati ya mji
Kodi: Makubaliano


Nyumba na.4


- Vyumba 4 vya kulala
- Bwawa la kuogelea
Mahali: Mikocheni kwa Warioba
Kodi: US$ 5000 (kwa mwezi)




Nyumba na.3


- Vyumba 4 vya kulala
- ina samani za nyumba nzima
- Eneo kubwa
Mahali: Mikocheni B karibu na Shule ya Msingi Ushindi
Kodi: USD 1500 ( kwa mwezi)


Nyumba na.2
- Vyumba 4 vya kulala
- Sebule kubwa
- Eneo kubwa
Mahali: Karibu na Barabara ya Old.Bagamoyo, eneo la ufukwe wa Kawe
Kodi: US$ 2500



Nyumba na.1


- Vyumba 4 vya kulala ina:
- Samani za nyumba nzima
- Inatizamana na ufukwe wa bahari
- Bwawa la kuogelea, Ukumbi wa mazoezi
Mahali: Msasani kwa Mwl. Nyerere
Kodi: US$ 2500 (kwa mwezi)

1 comment:

  1. Well..thats good idea congratulation. Ningependa kukushauri kitu kimoja Rinee, hizo picha ungekuwa unazikuza ili zionekane vizuri zaidi maana naona ni ndogo sana.Kidogo kidogo ndio mwendo!! Bye

    ReplyDelete